|
Hakuna shaka kwamba miongoni mwa matukio yanayotakiwa kukumbukwa na kila mwanadamu, ni tukio na eneo muhimu la karbala. Hakika ni maneno ambayo yametoa funzo katika kila uwanda wa maisha ya binadamu, mafundisho yake hayapo katika eneo maalumu tu, bali yapo katika kila eneo la uhai wetu. Karbala ni fundisho; la kimapinduzi, la kimafanikio katika kila nyanja. Karbala ni fundisho kwa vijana, wazee, wanawake, watoto na uzalendo. KARBALA NI FUNDISHO LA KILA KITU
|